MHE. NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA CZECH NA BALOZI WA NAMIBIA
 
  CFAST Project-Full Disclosed ESMF
  CFAST Project-Full Disclosed RPF
  CFAST Project-Full Disclosed IPMP
  CFAST Project- Disclosure note for Environmental and Social Impact assessment policy Framework(ESMF)
  CFAST Project- Disclosure note for Resettlement Policy Framework( RPF)
  CFAST Project- Disclosure note for Intergrated Pest Management Plan(IPMP)
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari (Aina mpya za Mbegu za mazao) 
National Agriculture Policy - 2013
  Hotuba ya Bajeti 2016-17
FTanzania CSA Program 2015-2025
FProposed SAGCOT Investment Project
FAnnual Report for Financial Year 2014-15
Press Release
Applications for Admission into Diploma and    Certificate Programmes 2016-17
Food Security Bulletin Final December 2016
FFunding Opportunity
FSAGCOT Documents
Mifugo na Uvuvi
The Web Kilimo web
In The News Room

Hali ya chakula nchini kuelekea mwaka 2017: Hali ya chakula mwaka 2016/2017 ni ya kuridhisha kutokana na mavuno yaliyopatikana msimu wa kilimo wa 2015/2016. Tathmini ya awali (Preliminary Forecast) ya uzalishaji wa mazao ya chakula iliyofanyika mwezi Julai 2016, nchi inajitosheleza kwa chakula kwa viwango vya utoshelevu vya asilimia 123. Kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara Mikoa 11 ilibainika kuwa na viwango vya ziada vya.... Soma habari zaidi

TIZEBA : FANYENI KAZI KWA KUSHIRIKIANA: Waziri Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Dr. Charles John Tizeba amewataka wafanyakazi wa wizara yake kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Mhe. Dr. Tizeba alitoa wito huo wakati akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa wizara hiyo katika siku yake ya kwanza alipofika wizarani kuanza kazi rasmi. Soma habari zaidi

SIKU YA WAKULIMA WA MPUNGA MAKIFU YAFANA: Juhudi za Serikali kuzalisha mpunga kwa Wingi zimeanza kuonekana kwa wakulima wa kijiji cha Makifu, Wilaya ya Iringa, katika mkoa wa Iringa. Hali hiyo ilijidhihirisha katika maadhimisho ya siku ya wakulima iliyofanyika kijijini hapo katika skimu ya umwagiliaji ya Makifu. Katika siku hiyo Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bi. Wamoja Ayoub alikuwa mgeni rasimi.

MBEGU MPYA ZA MAZAO MBALIMBALI ZAIDHINISHWA: Kamati ya Taifa ya Mbegu (National Seed Committee) imeidhinisha matumizi ya aina 29 za mbegu mpya za mazao mbalimbali ya kilimo, mazao hayo ni mahindi,mpuga,alizeti karanga na chai. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba kwa vyombo vya habari, inasema Soma habari zaidi

Katibu Mkuu Kilimo DK. Florence Turuka, amezindua Mradi: Katibu Mkuu Kilimo DK. Florence Turuka, amezindua Mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga. Uzinduzi huo umefanyika kijiji cha kigugu wilaya ya Mvomero. Aidha, alitembelea shamba la mfano la mpunga la wakulima ambao walipatiwa mafunzo katika chuo cha Mkindo. Matumizi ya Teknolojia ya shadidi ni muhimu katika kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga.

MKUTANO WA WADAU WA MBOLEA: Mkutano wa wadau wa mbolea uliitishwa kwa lengo la kupitia mapendekezo ya kurekebisha kanuni za mbolea. Mkutano huo ulifunguliwa na Katibu Mkuu Kilimo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dk. Florence Turuka. Katika hotuba ya ufunguzi, alisisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wadau katika kufikia muafaka wa kanuni zitakazosaidia kuboresha biashara ya mbolea hapa nchini.
Serikali Yaongeza Idadi ya Maafisa Ugani: Mkurugenzi wa Idara ya Mafunzo, Wizara Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Anne Assenga amesema katika msimu wa kilimo wa 2014/2015 Serikali imefanikiwa kuongeza idadi ya Maafisa Ugani na kufikia 11,073 walioajiriwa ikilinganishwa na lengo la kufikia Maafisa Ugani 15,082 ifikapo mwaka 2020. ........Soma habari zaidi
Makampuni ya Pembejeo Fikisheni Pembejeo Haraka kwa Wakulima: Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi imehimiza Makampuni yanazoshiriki kusambaza pembejeo kwa wakulima kwa kutumia mfumo wa vocha katika msimu wa kilimo wa 2015/2016, kupeleka haraka pembejeo kwa wakulima.... .......Soma habari zaidi
Photo Gallery

Importation of biological control agents in Tanzania  
   
Farm Machinery Catalogue Form

Improved Agricultural Technologies Recommended in Tanzania

Livestock and Fisheries

Food Security Livelihood Baseline Profile

East African Community Protocol on Sanitary and Phytosanitary (SPS) Measures
 
Habari
nyinginezo
            Rapid Agriculture Needs Assessment in response to the "El -Niņo" effects in Tanzania
Agricultural Sector Environmental Impact Assessment Guidelines
Programes, Projects and other web pages
         
Speeches| Publications | Agricultural Statistics | Legislation and Regulations | About us|Contact us
Copyright 2008, Ministry of Agriculture Food Security and Cooperatives All rights reserved.