Home Feedback Search

Downloadable Forms
Home

Soma kipeperushi cha kuhusu mikopo ya pembejeo

       

United Republic of Tanzania, Ministry of Agriculture, Food Security & Corperatives, Agricultural Inputs Trust Fund. AGITF.  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mfuko wa Pembejeo.

UNATAKA FOMU ZA MIKOPO?

 Mfuko wa Pembejeo unatoa mikopo ya kununua matrekta mapya, kukarabati ya zamani na zana zake, na pia mikopo ya kununua na kusambaza pembejeo za kilimo na mifugo.

Ukitaka fomu za mikopo ya  kununua au kukarabati matrekta, bonyeza kwenye maandishi haya.

Ukitaka fomu za mikopo ya pembejeo za kilimo na mifugo, bonyeza kwenye maandishi haya

 

 

Send mail to agitf@mari.or.tz with questions or comments about this web site.
Last modified: 03/06/07