Home Feedback Search

Historia Fupi ya Mfuko
Home

Soma kipeperushi cha kuhusu mikopo ya pembejeo

       

United Republic of Tanzania, Ministry of Agriculture, Food Security & Corperatives, Agricultural Inputs Trust Fund. AGITF.  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mfuko wa Pembejeo.

Historia Fupi ya Mfuko wa Pembejeo

Mfuko wa Pembejeo ulianzishwa kwa sheria ya Bunge Namba 9 ya mwaka 1994. Madhumuni ya Mfuko ni kugharimia uagizaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo na mifugo ili kuhakikisha kuwa zinawafikia wakulima na wafugaji kwa wakati mwafaka.

 

Ili kutimiza lengo hilo, Mfuko wa Pembejeo unatoa mikopo inayotozwa riba nafuu kwa ajili kununua na kusambaza pembejeo za kilimo na mifugo. Aidha, kuanzia msimu wa 2003/2004 Mfuko ulianza kutoa mikopo ya kukarabati matrekta na kununua matrekta mapya na zana zake.

 

Send mail to agitf@mari.or.tz with questions or comments about this web site.
Last modified: 03/06/07