Dkt. Hussein M. Omar Naibu Katibu Mkuu (Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula)
Vijana wa kundi la kwanza la Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (Build a Better Tomorrow- BBT) wamewasili na kuanza zoezi la usajili katika Wizara ya Kilimo kabla ya kuanza safari ya kuelekea kwenye shamba la pamoja la Ndogowe, mkoani Dodoma.