TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAKULIMA KUTUMIA MVUA ZA MSIMU ZILIZOANZA KUNYESHA NA ZA VULI KUPANDA MAZAO
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAKULIMA KUTUMIA MVUA ZA MSIMU ZILIZOANZA KUNYESHA NA ZA VULI KUPANDA MAZAO
11 Nov, 2024
Pakua
Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro ambayo hupata mvua mara mbili (bimodal) kwa mwaka, kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi.