Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Kilimo

HOTUBA YA MHESHIMIWA JAPHET HASUNGA (Mb) KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WATOA HUDUMA ZA UGANI

11 Nov, 2024 Pakua
HOTUBA YA  MGENI RASMI MHESHIMIWA JAPHET HASUNGA (Mb) WAZIRI WA KILIMO KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WATOA HUDUMA ZA UGANI KILIMO, MIFUGO NA UVUVI TANZANIA (TANZANIA SOCIETY OF AGRICULTRAL EDUCATION AND EXTENSION– TSAEE) TAREHE 16 DESEMBA, 2019, ROMAN CATHORIC - DODOMA HOTUBA YA  MHESHIMIWA JAPHET HASUNGA (Mb) KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WATOA HUDUMA ZA UGANI KILIMO, MIFUGO NA UVUVI TANZANIA (TANZANIA SOCIETY OF AGRICULTRAL EDUCATION AND EXTENSION– TSAEE) TAREHE 16 DESEMBA, 2019, ROMAN CATHORIC - DODOMA Dhamira ya Serikali ya kujenga uchumi wa viwanda inatokana na fursa kubwa tulizonazo kupitia Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Katika mchakato huu endelevu, Sisi sote tumekwishakubaliana kuanza na viwanda vinavyotumia malighafi za hapa nchini na vitakavyojumuisha Watanzania walio wengi katika mnyororo wa thamani. Ni dhahiri kuwa katika kutekeleza azma hiyo, Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi zina mchango mkubwa katika kutoa malighafi zitakazohitajika.