18 Nov, 2024
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli akizungumza na Balozi wa Italia hapa nchini, Mhe. Giuseppe Sean Coppola kuhusu kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Kilimo hususan katika masuala ya utafiti ili kuchochea ugunduzi wa teknolojia mbalimbali kwenye Sekta ya Kilimo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli akizungumza na Balozi wa Italia hapa nchini, Mhe. Giuseppe Sean Coppol...